Louisville, Kentucky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Louisville,Kentucky


Jiji la Louisville
Nchi Marekani
Jimbo Kentucky
Wilaya Jefferson
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 709,264

Louisville ni mji wa Marekani katika jimbo la Kentucky. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 142 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Louisville, Kentucky kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.