Lorenzo Arnone Sipari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lorenzo Arnone Sipari
Lorenzo Arnone Sipari
Lorenzo Arnone Sipari
Alizaliwa 10 Oktoba 1973
Kazi yake mwandishi

Lorenzo Arnone Sipari (aliyezaliwa 10 Oktoba 1973 [1])ni mwandishi na mwanahistoria wa asili wa Kiitaliano, mwandishi wa tafiti nyingi kuhusu historia ya kijamii na mazingira, hasa juu ya asili na msingi wa Parco Nazionale d'Abruzzo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Political office". openpolice.it. 2011.