Lisa Evans

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Evans akiwa West Ham United mnamo 2023

Lisa Catherine Evans (alizaliwa 21 Mei 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Scotland ambaye anachezea klabu ya Bristol City FC inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) [1], na timu ya taifa ya Uskoti.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Noah Dougherty (2024-01-25). "Evans signs for City". Bristol City FC (kwa en-ZA). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. Wrack, Suzanne (2019-05-15), "Women’s World Cup: Arsenal’s Emma Mitchell left out of Scotland squad", The Guardian (kwa en-GB), ISSN 0261-3077, iliwekwa mnamo 2024-04-27 
  3. "Meet Kerr's Scotland World Cup squad", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-27 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lisa Evans kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.