Laia Codina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Codina akiwa na Barcelona B mnamo 2019

Laia Codina Panedas (alizaliwa 22 Januari 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Arsenal ya Ligi Kuu ya Wanawake(WSL) na timu ya taifa ya wanawake ya Uhispania. Ameiwakilisha Uhispania akichezea timu tofauti za kitaifa za vijana.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Análisis de la central del futuro, Laia Codina". ADN La Masía (kwa Kihispania). 11 June 2020. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 April 2021. Iliwekwa mnamo 5 April 2021.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Martín, Bruno (7 July 2019). "Laia Codina i el seu estiu màgic". Diari de Girona (kwa Kikatalani). Iliwekwa mnamo 5 April 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laia Codina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.