Kura ya maoni ya uhuru wa Sudan Kusini, 2011
Kura ya maoni ya uhuru wa Sudan Kusini, 2011 | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
|
Kura ya maoni ilichukua nafasi Kusini mwa Sudan kuanzia tarehe 9 hadi 15 Januari 2011,[1] katika hali ya aidha kanda ya kusini ibaki kuwa sehemu ya Sudan au iwe huru.[2][3] Kura hii ya maoni ni moja kati ya tokeo la 2005 la Mkataba wa Naivasha baina ya Khartoum na serikali kuu ya Sudan People's Liberation Army/Movement (SPLA/M).
Wakati huohuo kulikuwa na kura ya maoni ambayo ilipaswa ifanyike mjini Abyei katika hali ya aidha iwe sehemu ya Sudan Kusini lakini zoezi lilighairishwa kwa kutokana na mgogoro juu ya haki ya makazi na mipaka.[4]
Mnamo tarehe 7 Februari 2011, tume ya kura ya maoni iliwasilisha matokeo ya mwisho wa kura hizo, ambapo asilimia 98.83 walipigia kura kuwa huru.[5] Wakati huohuo zoezi la upigaji kura lilisitishwa katika baadhi ya wilaya kati ya 10 ya 79 kwa kuzidi asilimia 100 ya mahitaji ya kura zilizotakikana, idadi ya kura zilizidi kabisa hitaji la asilimia 60.
Tarehe rasmi ya kuanzisha taifa jipya huru ilikuwa 9 Julai 2011.[6]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "First day of south Sudan referendum ends peacefully". tehran times. Iliwekwa mnamo 10 Januari 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Sudan's Referendum Commission says southern Sudan referendum on Jan. 9", People's Daily Online, 21 October 2010. Retrieved on 5 January 2011.
- ↑ Road to 2011 referendum is full of obstacles – South Sudan's Kiir Ilihifadhiwa 15 Julai 2014 kwenye Wayback Machine. Sudan Tribune, 12 July 2007
- ↑ Mark Bixler, CNN. "Historic day ahead after decades of war", CNN, 5 January 2011. Retrieved on 10 January 2011.
- ↑ "South Sudan backs independence – results", BBC News, 7 February 2011.
- ↑ Sudan referendum: what's being voted on and what will happen? The Telegraph. 8 January 2011
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]{Commons category|Southern Sudanese independence referendum, 2011}}
- Republic of South Sudan: Challenges and Opportunities
- Southern Sudan Referendum Commission Ilihifadhiwa 11 Januari 2011 kwenye Wayback Machine.
- Southern Sudan Referendum Results website (SSRC and SSRB)
- UNDP Support to the Southern Sudan Referendum Ilihifadhiwa 2 Februari 2011 kwenye Wayback Machine.
- USAID Support to the Southern Sudan Referendum Ilihifadhiwa 10 Januari 2011 kwenye Wayback Machine.
- Media in Cooperation and Transition – group of Sudanese journalists covering the referendum.
- Sudan Referendum Ilihifadhiwa 9 Agosti 2019 kwenye Wayback Machine. at Gurtong
- Sudan: One Country or Two? collected news and commentary at Aljazeera English
- South Sudan Referendum collected news and commentary at BBC News
- Sudan's Referendum at IRIN News
- Sudan Referendum: "A Real Turning Point for the People of Africa" – video report by Democracy Now!
- Photo Gallery by USAID Ilihifadhiwa 28 Januari 2011 kwenye Wayback Machine.
- Sudan: Ready to Vote Ilihifadhiwa 12 Machi 2011 kwenye Wayback Machine. – slideshow by Life magazine