Kombaguru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kombaguru ni mlima unaopatikana katika kijiji cha Ikula, wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa Tanzania.

Mlima huo una umaarufu mkubwa Nyanda za juu kusini mwa Tanzania.

Jina la mlima limetokana na vita baina ya Mkwawa na Wajerumani, ambapo Vita vya kwanza kati ya Mkwawa na Wajerumani vilitokea katika mlima huo.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kombaguru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.