Kiyansi (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyansi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wayansi. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kiyansi imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyansi iko katika kundi la B80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyansi (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.