Kiyaaku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyaaku ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kenya inayozungumzwa na Wayaaku. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kiyaaku imehesabiwa kuwa watu 50 tu. Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyaaku iko katika kundi la lugha za Kikushi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyaaku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.