Kiunzi cha mifupa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kiunzi cha binadamu

Kiunzi cha mifupa ni jumla ya mifupa kwenye mwili wa mtu na wanyama. Mwanadamu ana kiunzi cha ndani na mifupa ni sehemu imara chini ya ngozi na nyama ya mtu na kusudi lake ni mwili ushikamane na kuwa thabiti.

Kiunzi cha binadamu huwa na mifupa 206. Mifupa inaunganishwa kwenye viungo kwa nyugwe inayowezesha mwili kuwa nyumbufu. Ukano huunganisha mfupa na misuli ikipeleka nguvu ya misuli kwa mfupa.

Kati ya wanyama kuna pia aina zenye kiunzi cha nje au zisizo na kiunzi. Arithropodi kama wadudu huwa na kiunzi cha nje.

Sehemu za kiunzi

Gray188.png Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiunzi cha mifupa kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.