Kinyulinyuli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyulinyuli (kinyuli nyulika) ni mchezo asilia ya watoto wa Afrika Mashariki ambao hucheza na watu zaidi ya wawili. Wachezaji huunganisha viganja vyao kwa kufinyana nyuma yake huku mmoja akiimba wimbo wa kinyulinyuli na ambaye mkono wake uko juu hujiachanisha hadi mshindi apatikane.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyulinyuli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.