Kingala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kilingala (au Lingala) ni lugha ya Kibantu hasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako ni lugha ya kitaifa. Kinazungumzwa na Wangala. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilingala kama lugha ya kwanza katika Jamhuri imehesabiwa kuwa zaidi ya watu milioni mbili; pamoja na hayo kuna watu milioni saba ambao huongea Kilingala kama lugha ya pili. Tena kuna wasemaji wa Kingala nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilingala iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.