Kindonga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kindonga ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wandonga. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kindonga imehesabiwa kuwa watu 263,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindonga iko katika kundi la R20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindonga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.