Kimpuono (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimpuono ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wampuono. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kimpuono imehesabiwa kuwa watu 165,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimpuono iko katika kundi la B80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimpuono (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.