Kimbo (lugha ya Kongo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wambo. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kimbo imehesabiwa kuwa watu 11,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbo iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbo (lugha ya Kongo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.