Kilimani
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kilimani inamaanisha sehemu iliyopo juu ya mlima mdogo, karibu na mlima au eneo la mlima mwenyewe.
Kama jina la mahali inaweza kutaja
- Kilimani (Dodoma) - kata ya Wilaya ya Dodoma mjini - Mkoa wa Dodoma - Tanzania
- Kilimani (Zanzibar) - kata ya jiji la Zanzibar - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania
- Kilimani (Mbinga) - kata ya Wilaya ya Mbinga - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania
- Kilimani (Nairobi) - kata ya Westlands mjini Nairobi (Kenya)