Kiholu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiholu ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Waholu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiholu nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 23,100; pia kuna wasemaji 5,100 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiholu iko katika kundi la K10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiholu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.