Kibarranbinja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kibarranbinja (kijani)

Kibarranbinja (au Kibarranbinya) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabarranbinja katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibarranbinja ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarranbinja kiko katika kundi pamoja na Kimuruwari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarranbinja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.