Kiawun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiawun ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waawun. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiawun imehesabiwa kuwa watu 400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiawun iko katika kundi la “Yellow River”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiawun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.