Lugha za Kisepik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Kisepik ni familia ndogo ya lugha ambazo huzungumzwa katika kisiwa cha Papua, nchini Papua Guinea Mpya. Katika familia hiyo kuna lugha takriban hamsini.

Jina la Sepik limetoka na mto Sepik ambao lugha hizo huzungumzwa karibu nao.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kisepik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.