Kiapo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Henry Kissinger akiweka mkono juu ya Biblia ya Kiebrania atoe kiapo cha kuwajibika kama Katibu wa nchi ya Marekani, 1973.

Kiapo (kutoka kitenzi kuapa; kwa Kiingereza: oath) ni tamko la nguvu kuhusu ukweli ama wa ushahidi ama wa ahadi uliotolewa au utakayotolewa.

Mara nyingi kinatolewa kwa msingi wa dini ya mhusika ili ajifunge au ajisikie amebanwa zaidi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiapo kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.