Kiambishi awali
Mandhari
Kiambishi awali ni kipande cha neno au mofimu tegemezi inayokaa kabla ya mzizi wa neno. Kwa mfano, neno "anavyolimiwa" mzizi wake ni Lim, na shina hapo ni Lima. Viambishi awali vinavyofanyakazi ni kama ifuatavyo:
- A = inaonesha kiambishi awali nafsi ya tatu umoja kiwakilishi cha ngeli ya YU-AWA
- NA = inaonesha kiambishi awali njeo wakati uliopo
- VYO = Inaonesha kiambishi awali ureshi wa mtenda
−
- LIM = Mzizi wa neno
−
- IW = Kiambishi tamati (Kauli ya kutendewa)
−
- A= Kiambishi kinachodokeza irabu tamati yakinifu
Hiyo ndiyo dhana ya kutambua viambishi awali katika tungo.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- comprehensive reference for English prefixes and suffixes
- more about English language prefixes and affixes in general Ilihifadhiwa 27 Novemba 2020 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiambishi awali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |