Keladioni wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Keladioni wa Aleksandria (alifariki 16 Julai 166) kuanzia mwaka 152 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 9 wa Aleksandria (Misri)[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.