Kapama Game Reserve
Kapama Game Reserve | |
Simba dume katika Kapama Game Reserve | |
Mahali | Limpopo, South Africa |
---|---|
Eneo | ha 13 000 (acre 32 000) |
Kuanzishwa | 1993 |
Kapama Game Reserve (iliyoanzishwa 1993) ni hifadhi ya asili ya hekta 13,000 inayomilikiwa kibinafsi katika mkoa wa Limpopo, Afrika Kusini . [1] Ilianzishwa na Johann Roode, ambaye mwanzoni alinunua ardhi kwa ajili ya malisho ya ng’ombe lakini akagundua kwamba mfumo wa ikolojia wa eneo hilo unahitaji kudumishwa. Hivi karibuni alianza kuendeleza eneo kama eneo la kitalii na hifadhi bado ni ya familia ya Roode. [2]
Wanyamapori[hariri | hariri chanzo]
- African bush elephant
- Cape buffalo
- Kifaru Mweupe
- Giraffa giraffa
- Swala Pala
- Blue wildebeest
- Tandala
- Simba
- Chui
- Duma
- Fisi madoa
Anjalia pia[hariri | hariri chanzo]
- Protected areas of South Africa
- Kapama Private Game Reserve: http://www.kapama.com/about/
- Kapama Wildreservat: Archived 29 Septemba 2017 at the Wayback Machine.
- Moditlo Private Game Reserve
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
- ↑ 1.0 1.1 "The Kapama Game Reserve". SA-Venues. Iliwekwa mnamo 30 November 2009. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "Private luxury safari game lodge with accommodation and spa". Kapama (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-04-03.