Fisi madoa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Fisi madoa | ||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Fisi madoa katika Kasoko ya Ngorongoro
|
||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Fisi madoa ni moja ya wanyama wala mizoga, au iliyokufa au ambayo imeachwa na wanyama wala nyama mfano simba au chui. Fisi madoa pia ni wanyama wawindaji wazuri ambao wanaweza kujitafutia kitoweo chao wenyewe badala tu ya kutegemea mizoga. Mbali na kula nyama, fisi madoa pia hula ndege, mijusi na wadudu.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fisi madoa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |