Tandala
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Tandala | ||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dume la tandala mkubwa
(Male greater kudu) |
||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Tandala ni wanyama wa jenasi Tragelaphus katika familia Bovidae. Spishi nyingine huitwa bongo, kulungu, nyala au nzohe. Wanatokea Afrika katika maeneo yenye miti kutoka nyika hadhi msitu. Wana milia na madoa nyeupe juu ya rangi ya kahawa au kijivu. Dume ni kubwa kuliko jike na ana pembe ndefu zilizopopotolewa. Jike hana pembe. Wanyama hawa hula majani, manyasi, matunda na viazi vya gugu.
[hariri] Spishi
- Tragelaphus angasii Nyala (Nyala)
- Tragelaphus buxtoni Tandala-milima (Mountain Nyala)
- Tragelaphus eurycerus Bongo (Bongo)
- Tragelaphus imberbis, Tandala Mdogo (Lesser Kudu)
- Tragelaphus scriptus, Nyala-nyika (Kéwel)
- Tragelaphus spekii, Nyala-maji au Nzohe (Sitatunga)
- Tragelaphus strepsiceros, Tandala Mkubwa (Greater Kudu)
- Tragelaphus sylvaticus, Kulungu, Mbawala au Pongo (Imbabala au Bushbuck)
[hariri] Picha
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tandala kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.