Joseph M. Acaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Michael "Joe" Acabá (amezaliwa 17 Mei 1967) ni mwalimu katika Chuo Kikuu cha  Puerto Rico, mwanajiolojia wa maji, na mwanaanga wa NASA.[1] [2] Mnamo Mei mwaka 2004 alikua mtu wa kwanza  kutoka Puerto Rican kutajwa kama mwanaanga mwanafunzi wa NASA, ambapo alichaguliwa kama mshiriki katika mafunzo ya anga ya  NASA katika kundi namba 19. [3] Alimaliza mafunzo yake mnamo Februari 10 mwaka 2006, na akapewa ndege yenye namba za usajili STS-119, ambayo iliruka kutoka Machi 15 hadi Machi 28 mwaka 2009, ili kupeleka seti ya mwisho ya safu za jua kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph M. Acaba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Wolf, Eric T.; Kopparapu, Ravi; Haqq-Misra, Jacob; Fauchez, Thomas J. (2022-01-01). "ExoCAM: A 3D Climate Model for Exoplanet Atmospheres". The Planetary Science Journal 3 (1): 7. ISSN 2632-3338. doi:10.3847/psj/ac3f3d. 
  2. Wolf, Eric T.; Kopparapu, Ravi; Haqq-Misra, Jacob; Fauchez, Thomas J. (2022-01-01). "ExoCAM: A 3D Climate Model for Exoplanet Atmospheres". The Planetary Science Journal 3 (1): 7. ISSN 2632-3338. doi:10.3847/psj/ac3f3d. 
  3. "NASA astronaut awarded UK honor". Physics Today. 2011. ISSN 1945-0699. doi:10.1063/pt.5.024938. 
  4. Eberhart, J. (1986-10-11). "NASA Sets Shuttle Launch Date, Schedule". Science News 130 (15): 229. ISSN 0036-8423. doi:10.2307/3971089.