José Sócrates
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
José Sócrates Carvalho Pinto de Sousa (amezaliwa 6 Septemba, 1957) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ureno. Yeye ni Waziri Mkuu wa Ureno tangu 12 Machi, 2005.
[hariri] Angalia Pia
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu José Sócrates kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |