José Andrés Tamayo Cortez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

José Andrés Tamayo Cortez (alizaliwa San Pedro, Honduras, 1958) ni kasisi wa Kikatoliki na mwanamazingira wa Honduras, kiongozi wa Vuguvugu la Mazingira la Olancho na "uso wa umma wa harakati za mazingira nchini humo". [1] 2005 alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman . Baada ya kufukuzwa kutoka Honduras mwaka 2009 aliishi uhamishoni Nicaragua.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2015-09-06. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José Andrés Tamayo Cortez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.