Jimbo la Uchaguzi la Msambweni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Msambweni ni moja kati ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. JImbo hili linapatikana katika Wilaya ya Kwale katika Mkoa wa Pwani wa Kenya, miongoni mwa majimbo matatu katika Wilaya hiyo. Jimbo la Msambweni lina wodi kumi, zote zikichagua madiwani kwa baraza la Kwale County.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Kassim Bakari Mwamzandi.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Kassim Bakari Mwamzandi | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Kassim Bakari Mwamzandi | KANU | |
| 1997 | Mwarere Wa Mwachai | KANU | |
| 2002 | Abdalla Jumaa Ngozi | NARC | |
| 2007 | Omar Mbwana Zonga | ODM |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Diani | 60,565 |
| Dzombo | 36,118 |
| Kikoneni | 17,571 |
| Kingwende/Shira | 10,656 |
| Kinondo | 20,798 |
| Lunga Lunga | 20,101 |
| Mivumoni | 10,300 |
| Msambweni | 17,104 |
| Mwereni | 32,034 |
| Pongwe/Kidimu | 15,104 |
| Vanga | 13,744 |
| Jumla | x |
| *Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wards | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
|---|---|
| Diani | 15,751 |
| Dzombo | 7,571 |
| Kasemeni / Sega | 5,665 |
| Kikoneni | 4,444 |
| Kingwende/Shirazi | 3,836 |
| Kinondo | 6,107 |
| Mivumoni / Msambweni | 9,136 |
| Mwereni | 4,930 |
| Pongwe/Kidimu | 5,573 |
| Vanga | 4,216 |
| Jumla | 67,229 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]