Kwale
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwale ni jina la:
- Jamii ya ndege (Kwale (ndege))
- Mji mdogo katika Kenya (Kwale (mji))
- Kwale (Chakechake) - kata ya wilaya ya Chake Chake kisiwani Pemba, Tanzania
- Kwale (Kisiju) ni kisiwa kidogo ambacho ni sehemu ya kata ya Kisiju mbele ya pwani la Tanzania upande wa kaskazini wa delta ya mto Rufiji.