Jimbo la Uchaguzi la Likoni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Likoni ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Mombasa mkoani Pwani nchini Kenya, miongoni mwa maimbo manne ya wilaya hiyo. Lina wodi nne, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la munisipali ya Mombasa.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988. Mbunge wake wa kwanza alikuwa Abdulkadir Abdalla Mwidau.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Abdulkadir Abdalla Mwidau | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Khalif Salim Mwavumo | Ford-Kenya | |
| 1997 | Rashid Suleiman Shakombo | Shirikisho | |
| 2002 | Rashid Suleiman Shakombo | NARC | |
| 2007 | Mwalimu Masudi Mwahima | ODM |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Ganjoni | 24,176 |
| Likoni | 76,388 |
| Mtongwe | 27,251 |
| Shika Adabu | 18,437 |
| Jumla | x |
| *Hesabu 1999 [2]. | |
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
|---|---|
| Bofu | 16,147 |
| Ganjoni | 14,805 |
| Mtongwe | 9,640 |
| Shika Adabu | 7,627 |
| Jumla | 48,219 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]