Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Magharibi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Magharibi ni mojawapo ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Kisumu miongoni mwa majimbo matatu ya wilaya hiyo. Lina wodi 11, zote zikichagua madiwani kwa munisipali ya Kisumu.
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1997 kutokana na mutawanywa kwa jimbo kubwa la Kisumu Mjini.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1997 | Job Omino | NDP | |
| 2002 | Job Omino | NARC | |
| 2003 | Kennedy Odhiambo Nyagudi | NARC | Uchaguzi Mdogo |
| 2007 | John Olago Aluoch | ODM |
Wodi [hariri]
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
|---|---|
| Aerodrome | 2,676 |
| Kaloleni / Shauri Moyo | 3,623 |
| Kibuye | 5,655 |
| Kisumu Central | 9,054 |
| Kisumu East | 5,347 |
| Kisumu North | 4,873 |
| Market | 7,478 |
| Milimani | 8,441 |
| Railway | 11,855 |
| South West Kisumu | 6,724 |
| Stadium | 5,307 |
| Jumla | 71,033 |
| *Septemba 2005 [2]. | |
Tazama Pia [hariri]
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency