Jimbo la Uchaguzi la Kisauni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Kisauni ni moja kati ya Majimbo 210 ya uchaguzi Nchini Kenya. Jimb hili linapatikana katika Wilaya ya Mombasa katika Mkoa wa Pwani wa Kenya, miongoni mwa majimbo manne katika wilaya hiyo. Lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Munisipali ya Mombasa.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988 huku mbunge wake wa kwanza akiwa Said Hemed Said. Wa chama cha KANU, wakati Kenya ilikuwa na mfumo wa chama kimoja.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Said Hemed Said | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Rashid M. Mzee | Ford-Kenya | |
| 1997 | Emmanuel Karisa Maitha | DP | |
| 2002 | Emmanuel Karisa Maitha | NARC | Maitha aliaga dunia Mnamo 2004 [2] |
| 2005 | Ananiah Mwaboza | LPK | Uchaguzi Mdogo |
| 2007 | Hassan Ali Joho | ODM |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Bamburi | 45,294 |
| Ganjoni | 18,791 |
| Kisauni | 117,889 |
| Kongowea | 86,678 |
| Majengo | 40,241 |
| Mombasa Old Town | 21,516 |
| Jumla | x |
| *Hesabu 1999 [3]. | |
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
|---|---|
| Bamburi | 16,108 |
| Frere Town | 12,154 |
| Kizingo | 8,661 |
| Kongowea | 13,935 |
| Maweni | 13,688 |
| Mjambere | 9,476 |
| Mji wa Kale / Makadara | 15,243 |
| Mwakirunge | 4,136 |
| Jumla | 93,401 |
| *Septemba 2005 [4]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Catholic Information Service for Africa (CISA), Aug 30, 2004: Cabinet Minister Dies Suddenly
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]