Jimbo la Uchaguzi la Kathiani
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Kathiani ni mojawapo ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja ya majimbo sita ya Wilaya ya Machakos mkoani Mashariki mwa Kenya.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988. Mbunge wake wa Kwanza alikuwa Laban Maingi Kitele.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Laban Maingi Kitele | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
| 1992 | Jackson Kimeu Mulinge | KANU | |
| 1997 | Peter Kyalo Kaindi | SDP | |
| 2002 | Peter Kyalo Kaindi | NARC | |
| 2007 | Ndeti Wavinya | CCU |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu[2] |
|---|---|
| Iveti | 29,573 |
| Kaewa | 24,751 |
| Katani | 13,984 |
| Kathiani | 27,377 |
| Lukenya | 29,573 |
| Mitaboni | 35,148 |
| Settled Area | 28,051 |
| Jumla | x |
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
|---|---|---|
| Athi River West | 6,934 | Munisipali ya Mavoko |
| Iveti | 11,109 | Baraza la Masaku County |
| Kaewa | 8,449 | Baraza la Masaku County |
| Katani | 5,806 | Munisipali ya Mavoko |
| Kathiani | 10,094 | Baraza la Masaku County |
| Kinanie / Mathatani | 4,291 | Munisipali ya Mavoko |
| Makadara | 7,691 | Munisipali ya Mavoko |
| Mitaboni | 12,828 | Baraza la Masaku County |
| Muthwani | 1,921 | Munisipali ya Mavoko |
| Sophia / Kenya Meat | 7,324 | Munisipali ya Mavoko |
| Jumla | 76,447 | |
| *Septemba 2005 [3]. | ||
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]