Janeane Garofalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Janeane Garofalo
Janeane Garofalo Jan 15, 2008.jpg
Janeane Garofalo mnamo Januari 2008
Amezaliwa 28 Septemba 1964 (1964-09-28) (umri 47)
Newton, New Jersey, U.S.
Kazi yake Mwigizaji, Mchekeshaji, Mwandishi, Mwanaharakati
Miaka ya kazi 1988–hadi leo
Ndoa Robert Cohen (1992-) (wametengana)

Janeane Garofalo (amezaliwa tar. 28 Septemba, 1964) ni mchekeshaji wa wima, mwigizaji, mwanaharakati wa kisiasa, mwandishi, na mtangazaji msaidizi wa zamani wa kipindi cha The Majority Report cha Redio Amerika. Licha ya kuwa na daraja kubwa la umaarufu, Garofalo bado anaendelea kumwaga vitu yvake mitaani mwa jiji la New York City.

Alipata kuonekana katika mfululizo wa kipindi cha telebisheni cha 24, akiwa kama Janis Gold.

[hariri] Viungo vya Nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janeane Garofalo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine