Jacksonville, Florida
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jacksonville | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Jacksonville katika Marekani | |||
| Anwani ya kijiografia: 30°19′10″N 81°39′36″W / 30.31944°N 81.66°W | |||
| Nchi | Marekani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Florida | ||
| Wilaya | Duval | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 794,555 | ||
| Tovuti: www.coj.net | |||
Jacksonville ni mji la Florida na mji mkubwa jimbo hii. Mji uko kando la Atlantiki.
Idadi ya wakazi ni 794,555. Wakazi wa jiji ni mchanganyiko wa watu kutoka zote za dunia. Mji upo m 5 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Mji ulianzishwa na Waingereza mnamo 1791.
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Florida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jacksonville, Florida kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |