Itilima (Kishapu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Itilima ni kata ya Wilaya ya Kishapu katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 15,393 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,214 waishio humo.[2]

Itilima ni kata yenye shida kubwa kielimu kwani shule za msingi na sekondari zipo chache, jambo linalopelekea wanafunzi kuacha shule na hata wanaoendelea kupata changamoto kubwa za kujifunza kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi madarasani.

Changamoto nyingine ya kata hii ni ubovu wa miundombinu ya usafirishaji kiasi kwamba kuna maeneo hayafikiki kabisa ilihali wakazi wake ni wakulima wanaotegemea mazao kwa kiasi kikubwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Kishapu - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania

Bubiki | Bunambiyu | Bupigi | Busangwa | Idukilo | Igaga | Itilima | Kiloleli | Kishapu | Lagana | Maganzo | Masanga | Mondo | Mwadui Lohumbo | Mwakipoya | Mwamalasa | Mwamashele | Mwasubi | Mwataga | Mwaweja | Ndoleleji | Ngofila | Seke-Bugoro | Shagihilu | Somagedi | Songwa | Talaga | Uchunga | Ukenyenge


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Itilima (Kishapu) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.