Isimu amali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Isimu amali ni tawi la isimu ambalo hushughulikia uchambuzi na uchanganuzi wa lugha kupitia kwa maoni ya mtumiaji wa lugha husika. Hasa taaluma hiyo inachunguza uchaguzi wa miundo wa maneno anaoufanya msemaji, vikwazo vya kijamii msemaji anavyokabiliana navyo katika matumizi yake ya lugha, na athari nyingine za kijamii za matumizi ya lugha. Wengine hudai kuwa taaluma hiyo ni sehemu ya isimujamii.

[hariri] Marejeo

[hariri] Tazama pia

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Isimu amali" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Isimu amali kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.