Isaiah Oghenevwegba Ogedegbe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Isaiah Oghenevwegba Ogedegbe
binadamu
Jinsiamume Hariri
Jina halisiIsaiah Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa1991 Hariri
Kaziblogger Hariri

Isaiah Oghenevwegba Ogedegbe (anayejulikana kifupi kama Isaiah Ogedegbe, alizaliwa 14 Juni 1991)[1] ni mwandishi, mwanablogu, kiongozi wa kiroho, mhubiri, na mchungaji nchini Nigeria.

Isaiah Ogedegbe anatumia tovuti yake inayoitwa "Warri Times"kuandika makala na mashairi kuhusu watu wakuu wa Nigeria. Ndiye aliyeandika shairi moja kuhusu Nelson Mandela mnamo Septemba 29, 2022.[2]

Anajulikana kuwa mtu kukoka Warri, jimbo la Delta, ambaye ametoa unabii sahihi kuhusu mambo mengi ambayo yametukia Nigeria.[3] Imeripotiwa kuwa alitoa unabii sahihi kuhusu Jengo la Kanisa la Sinagogi laporomoka miezi minane kabla halijatokea.[4][5]

Imeripotiwa pia kwamba alimtaja marehemu mwanzilishi wa kanisa hilo, T. B. Joshua kuwa "mshauri kwa mataifa, maaskofu na wachungaji".[6]

Picha

Viungo vya Nje

Marejeo

  1. "Pastor Isaiah Ogedegbe: The Story Of My Birth". Blank NEWS Online. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-20. Iliwekwa mnamo 2023-12-16. 
  2. Dubem, Colins. "POEM: Nelson Mandela And Apartheid -By Isaiah Ogedegbe". NaijaOnPoint. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-17. Iliwekwa mnamo 2023-12-16. 
  3. "PASTOR OGEDEGBE AND HIS MANY HAPPENING PROPHECIES". Gong News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-09. Iliwekwa mnamo 2023-12-16. 
  4. "TEN THINGS THAT WILL HAPPEN IN 2014 - PROPHET OGEDEGBE". Gong News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-09. Iliwekwa mnamo 2023-12-16. 
  5. "PROPHESY: How I Predicted The 2014 Synagogue Church Building Collapse - Prophet I. O. Ogedegbe". Blank NEWS Online. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-18. Iliwekwa mnamo 2023-12-16. 
  6. Alaka, Gboyega; Ogunlade, Alaka. "Iginla, TeeMac, others eulogise TB Joshua at posthumous birthday". The Nation Newspaper. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-13. Iliwekwa mnamo 2024-02-20. 
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.