Ionia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mahali pa Ionia katika Uturuki wa leo
Mahali pa Ionia katika Uturuki wa leo
Kichwa cha nguzo katika mtindo wa Kiionia
Kichwa cha nguzo katika mtindo wa Kiionia
Mtindo wa Kiionia kwenye jengo la bima huko Cicinnati (Marekani) mnamo mwaka 1900 BK
Mtindo wa Kiionia kwenye jengo la bima huko Cicinnati (Marekani) mnamo mwaka 1900 BK

Ionia ilikuwa eneo la kihistoria katika magharibi ya Asia Ndogo zamani za Ugiriki ya Kale. Leo hii eneo lake liko ndani ya Uturuki.

Jina la Ionia lilitokana na Waionia waliokuwa kabila la Wagiriki waliohamia Asia Ndogo kutoka Ugiriki mwenyewe mnamo mwaka 1,000 KK na kujenga miji yao huko kama vile Efeso, Mileti na Smirna (Izmir ya leo). Baadaye Ionia ilikuwa eneo walipoishi wanafalsafa muhimu kama Thales wa Mileti, Anaximander oder Heraklito.

Ionia ilikuwa pia na wasanii bora hasa mtindo wa nguzo wa Kiionia umepata maarufu ukarudiwa pia katika majengo ya kisasa.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Ionia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Ionia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi