Hifadhi ya Rumanyika-Karagwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Rumanyika-Karagwe ipo katika mkoa wa Kagera, kaskazini magharibi mwa Tanzania[1].

Hifadhi hiyo ilianzishwa mnamo mwaka 2019 na ina ukubwa wa kilometa za mraba 247 katika wilaya za Karagwe na Kyerwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rumanyika-Karagwe National Park". Tanzania National parks. Iliwekwa mnamo 2023-08-01.