Herne
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Herne | |||
| Kitovu cha mji wa Herne | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Herne katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 51°33′N 7°13′E / 51.55°N 7.217°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
| Idadi ya wakazi (2009) | |||
| - Mji | 165.632 | ||
| Tovuti: www.herne.de | |||
Herne ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Emscher. Idadi ya wakazi wake ni takriban 165.632. Mji ulianzishwa 880.
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Herne kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |