Hefei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Hefei
Skyline ya Jiji la Hefei
Nchi China
Jimbo Anhui
Idadi ya wakazi
 - Mji 4,627,300
Website: www.anhui.gov.cn

Hefei (合肥) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Anhui. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao milioni 4.6 wanaoishi katika mji huu.

ČLR-pahýl.png Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hefei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.