Hawa Abdulrahman Ghasia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hawa Abdulrahman Ghasia (amezaliwa 10 Januari 1966) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania tangu mwaka wa 2005. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Ghasia ni Waziri wa Huduma za Umma. Mwaka wa 2003 alipata shahada ya pili katika somo la Maendeleo ya Vijijini kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine.
Viungo vya nje[hariri]
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |