Hamad Rashid Mohamed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hamad Rashid Mohamed (amezaliwa 1 Machi, 1950) alikua mbunge wa jimbo la Wawi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Ni mlezi wa chama cha ADC.Amegombea nafasi ya urais kupitia chama cha ADC tarehe 20.03.2016 huu ulikua ni uchaguzi wa marudio kufuatia uchaguzi wa october 25,2015 kufutwa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi. Katika uchaguzi huo Hamad hakuweza kufikia asilimia 10 na kushindwa kuchaguliwa kua Makamo wa kwanza wa Rais kwani chama chake kilishindwa kupata kiti hata kimoja na kutofikisha asilimia 10 ya kura za urais. Baadhi ya wanchi wanamchukulia kama ni pandikizi la CCM visiwani Zanzibar

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Hamad Rashid Mohamed". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.