Gary Neville

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gary Neville

Gary Alexander Neville (amezaliwa 18 Februari 1975) ni kocha wa mpira wa miguu wa Uingereza.

Amestaafu soka lake katika klabu ya Manchester United ya Uingereza na kwa sasa ni kocha wa mpira wa miguu.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gary Neville kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.