Galerius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kichwa cha Romuliana Galerius

Galerius (250 hivi - 311) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 305 hadi kifo chake.

Aliwafuata Maximian na Diokletian akafuatwa na Maximinus, Konstantino Mkuu na Licinius.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Galerius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.