Funguvisiwa ya Britania
Kutoka Wikipedia
Funguvisiwa ya Britania ni kundi la visiwa vya Ulaya ya kaskazini-magharibi. Jumla ni visiwa 6,000 vyenye eneo la 315,134 km² lakini ni hasa visiwa viwili vikubwa, vichache vya wastani na vingi vidogo.
Visiwa vikubwa ni hasa:
- kisiwa cha Britania (229,850 km²)chenye nchi za Uingereza, Uskoti na Welisi.
- kisiwa cha Ueire (84,421 km²) chenye nchi za Ueire na Ueire ya Kaskazini
Visiwa vidogo zaidi ni

