Fungu (mmea)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Fungu (Celosia argentea) |
||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Fungu
|
||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Fungu (Celosia argentea) ni mmea wa familia Amaranthaceae unaopandwa sana katika Afrika na Asia ya Kusini-Mashariki. Majani na maua hulika.