France24
France 24 ni stesheni yakimataifa ya kutangaza habari. Ilianza utangazaji mnamo 6 Desemba 2006.
Inapata fedha kutoka kwa serikali ya Ufaransa, na makao yake iko mjini Issy-les-Moulineaux,[1] karibu na mj wa Paris. Hivi sasa inatangaza habari kwa Kiingereza, Kiarabu na Kifaransa.
Bajeti yake kwa mwaka ni takriban milioni €80. Rais Nicolas Sarkozy alitangaza kuwa anapendelea kuwa stesheni hii itangaze kwa lugha ya Kifaransa pekee.ref>La chaîne France 24 dans l'incertitude, Le Monde</ref>
Yaliyomo |
Vipindi [hariri]
France24 inatangazwa kwa stesheni tatu tofauti: Ya Kiingereza, Kifaransa na ya Kiarabu kuanzia saa nane mchana hadi saa sita usiku (kulingana na masaa ya Paris).[2][3]
Vipindi vyake [hariri]
- The News
- In The Papers
- In The Weeklies
- Business
- The Business Interview
- Beyond Business
- The France 24 Interview
- Environment
- Face-Off
- The France 24 Debate
- Weather
- Health
- Fashion
- Culture
- World Generation
- Lessons For the Future
- Reporters
- Top Story
- Web News
- Sport
- Caring
- The Week In Africa
- The Week In Maghreb
- The Week In Asia
- The Week In Europe
- The Week In the Americas
- The Week In the Middle East
- The Week In France
- Markets
- Opinions
- Report
- Lifestyle
Wafanyikazi wakuu [hariri]
- Mwenyekiti: Alain de Pouzilhac
- Meneja wa habari: Albert Ripamonti
- Msimamizi jalada: Jean Lesieur
- Msimamizi wa nakala za Kiarabu: Nahida Nakad
- Msimamizi wa teknolojia: Frédéric Brochard
- Meneja wa wafanyikazi: Béatrice Le Fouest
- Meneja wa fedha: Frédéric Genea
- Mkuu wa sheria: Anne Kack
- Utangazaji: Patrice Begay
Matumaini [hariri]
France 24 ina matumaini ya kushinda stesheni kama CNN International, BBc World News, Deutsche Welle, na Al Jazeera English.
Upatikanaji [hariri]
Inapatikana nchini Uropa, Afrika na Middle East kwa njia ya satelaiti. Tovuti yake ni france24.com
Marejeo [hariri]
- ↑ "Contact Us." France 24. Retrieved on 29 Oktoba 2009.
- ↑ http://www.france24.com/
- ↑ Inside France 24

